Usiku wa habari Dodoma ulioandaliwa klub ya waandishi wa habari mkoa wa Dodoma ulifanyika katika ukumbi wa Cavilam. Usiku wa habari uliambatana na zoezi la utoaji wa tuzo kwa waandishi wa habari waliofanya vizuri pia kwenye tasnia ya habari kwa mwaka 2022. Mgeni Rasmi katika usiku wa habari Dodoma alikwa ni Naibu Waziri wa habari na Mgeni Maalum alikuwa ni Kuu wa Mkoa wa Dodoma.

Usiku wa habari Dodoma uliratibiwa na kuongozwa na MC RHEVAN www.mcrhevan.com

0 replies

Leave a Reply

Want to join the discussion?
Feel free to contribute!

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *