
USIKU WA HABARI DODOMA
Usiku wa habari Dodoma ulioandaliwa klub ya waandishi wa habari mkoa wa Dodoma ulifanyika katika ukumbi wa Cavilam. Usiku wa habari uliambatana na zoezi la utoaji wa tuzo kwa waandishi wa habari waliofanya vizuri pia kwenye tasnia ya habari…